alphaigogo.com
Diamond: Ili ufanikiwe ni lazma Udharirike kwanza - alphaigogo.com
@Regranned from @diamondplatnumz - lli ufanikiwe ni lazma Udharirike kwanza... Yaani lazima uwaonyeshe watu kuwa kitu fulani mie nakiweza........na katika kuwaonyesha huko kunawengine watakudharau, watakubeza, na kukucheka.........ila kuna wengine watakipenda, watathamini, kukikubali na kukupanafasi........ Maisha ndio yako hivyo........ Kadri unavyozidi kuogopa na kuona
Alpha Igogo