alphaigogo.com
Dina Marios: Nilifanya kazi kama miezi minne bila kulipwa mshahara wala chochote. - alphaigogo.com
Nakumbuka wakati naanza kazi 2005 nilifanya kazi kama miezi minne bila kulipwa mshahara wala chochote. Nilikuwa natembea umbali mrefu sana wakati mwingine sababu ya kukosa nauli ili kwenda kazini. Na hata nilipoanza kulipwa nakumbuka mshahara wangu ulikuwa 45,000 ulikuwa mdogo sana na hautoshi.Ila niliridhika kwa sababu nilikuwa najua ni mwanzo wa safari yangu na bado sina ujuzi kivile wala uwezo mkubwa. Leo
Alpha Igogo