alphaigogo.com
Dr. Shika kutambulishwa usikuwa wa 900 itapendeza! - alphaigogo.com
Mara paa! Dr. Shika kwa celebrity! Jamani, it's never too late to be you and achieve your dreams! Huwezi jua ni lini na kwa njia gani Mungu atakufungulia mlango wa kufikia malengo yako! Wewe fanya kazi zako kwa uwaminifu na kwa bidii mengine Mungu atakutimizia. Pia safari moja huwanzisha nyingine. Unaona hapa Dr. Shika alikwenda kwenye mnada wa kununua nyumba
Alpha Igogo