alphaigogo.com
Easter Moments: Mndalilas - alphaigogo.com
Familia ya brother Stevie Mndalila kutoka Indiana wakiwa pamoja wakifurahiya ufufuko wa Bwana Yesu. Nafikiri hapa walikuwa wametoka kanisani wakielekea nyumbani. Wamependeza sana. Mbarikiwe sana. Btw........ Hizi picha za mbuga mbali mbali za Tanzania ninazo badilishaga huwa natoa kwa Stevie, nimejisalimisha mwenyewe ??
Alpha Igogo