alphaigogo.com
Eddah Elegant Catering Christmas party - alphaigogo.com
Niliahidi kuleta hizi picha hapa, basi ngoja nitimize ahadi yangu. Kwa wale mliotukutia kati ni vihi, wiki iliyopita siku ya Christmas Eddah Elegant Catering iliandaa party kwa familia na wanajumuiya wote wa ishio Maryland na vitongoji vyake. Basi zifuatazo ni picha za kazi waliyoifanya. Huyu ndio mama EEC (Eddah Elegant Catering) mwenyewe. Hongera sana tena sanaaaaaa Eddah Gachuma. Kazi yako imefurahiwa
Alpha Igogo