alphaigogo.com
Fahari ya kila mzazi! - alphaigogo.com
These kids!!! Wazurijeee! Nimewapenda bure! Kheri tumbo lililo wazaa, kheri maziwa walio nyonya, Mungu abariki uzao wenu! Watoto ni fahari ya kila mzazi! Mungu awalinde hawa watoto na mashetani ya hii dunia.
Alpha Igogo