alphaigogo.com
Family ni msingi wa kila kitu ufanyacho! - alphaigogo.com
Kuna wakati familia huwa inaamua kukutana kwasababu tu wamejisikia kukutana. Saa nyingine mnajikuta wote mmetembelea eneo moja kwa wakati mmoja bila kujua hivyo mnakuwa mmekutana bila kukusudia. Mida mwingine familia inakuwa imekutana kwasababu kuna sababu maalumu ambayo inawalazimu wote kuwepo. Basi ndivyo ilivyokuwa hapa kwa familia ya mama
Alpha Igogo