alphaigogo.com
Family Time - alphaigogo.com
Ni juma Pili, na kama kawaida ni siku ya kurusha picha za 'family time'. Na leo nawaletea familia mama na baba watatu. Mama watatu naye hakubaki nyuma, kapendeza sana Hongera sana baba watatu kazi nzuri sana Wanapendeza kwa kweli Family that plays together stick to gother! Mbarikiwe sana mama na baba watatu.
Alpha Igogo