alphaigogo.com
Family time - alphaigogo.com
Yani Mungu pekee ndiye anaye jua furaha niliyo moyoni mwangu baada ya kuona hizi picha. Kwakweli mwacheni Mungu aitwe Mungu aibegoooo! Pichani ni Dr. Elizabeth Daniel Oming'o (mwenye yellow top) pamoja na watoto wake Alpha (yap! Wajina wangu huyo japo yeye mwanaume), na Asfda. Kulia ni Jane Daniel Oming'o au Mrs Ngereza. Jane ? yeye anaishi UK pamoja na familia yake.
Alpha Igogo