alphaigogo.com
Family time - alphaigogo.com
Familia ya mama na baba watatu. Hapa walikuwa kwenye state fair (ni kama saba saba in Bongoland). Jeshi la mutu 3 pamoja na Chief Comonder (daddy yao).....wamependeza sana MaWatatu umependeza mno! Ubarikiwe sana pamoja na familia yako.
Alpha Igogo