alphaigogo.com
Family time-the Sarungis - alphaigogo.com
Picha nzuri sana, nimependa mno! Hapa ni baba akimpongeza kijana wake Peter Sarungi kwa kuthubutu! Peter Sarungi alikuwa mmoja wa wagombea walio gombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha makundi maalum (walemavu). Soma hapa? Inatia moyo, faraja, na busara ya hali ya juu kuona mzazi akimpa moyo kijana / au binti yake kufanikisha ndoto alizo
Alpha Igogo