alphaigogo.com
Family Time - alphaigogo.com
Kama kawaida ni mewahaidi kila juma Pili nitakuwa naweka picha za families zaidi. Hivyo basi leo tuna anza na dada yetu kipenzi Shy-Rose Bhanji ambaye huyo Los Angeles, California kwa sasa akisalimia familia ya ndogo wake aishie huko. Kwa kweli wamependeza, na wanavutia sana. Mbalikiwe ma binti wa Bhanji.
Alpha Igogo