alphaigogo.com
Happy New Year -mama Pendo na timu yake - alphaigogo.com
Salamu za mwaka mpya toka kwa timu ya mama Pendo. Kwakweli leo ndo nimeona madhara ya watoto wakike kubadilisha last name zao ?? yani nimeshindwa kabisa kukumbuka ubini (last name) ya hii familia japo ni watu tunao fahamiana sana kwa zaidi ya miaka 20! Nimejaribu kupekua wapi!! Watoto wakike waliolewa na kubadili majina mwe! Na wengine wanatumia majina bandia, basi imekuwa
Alpha Igogo