alphaigogo.com
Family time- the New Yorkers - alphaigogo.com
Naipenda sana hii familia ya kutoka New York a.k.a jiji la wastarabu ?ni ndugu pamoja na marafiki wanao pendana na kuheshimiana sana hivyo wakaunda ka-group kao nakujiita family! Hapa ilikuwa ni birtday ya rafiki yao aitwaye Asamoah (mwenye kofia) walikutana na kujumuika pamoja kw ajili yake. Awii! Mtani wangu m-m-m kigugumizi kimenishika siwezi sema oops! Kumbe nasema kw 'kutumia vidole' ?? haya
Alpha Igogo