alphaigogo.com
Family time-the Kilangwas’ - alphaigogo.com
Da Tuma akiwa teyari kwenda kanisani siku ya Sabato. Nimependa sana dera yake. Colin naye hakuwa nyuma Sonia akiwa amependeza sana teyari kwa kupata mibaraka ya Sabato. Ubarikiwe sana. Baba kama kichwa cha nyumba sharti aonyeshe mfano. Ubarikiwe sana kaka yangu. Hongera sana da Tuma kwa familia nzuri sana. Mungu awe nanyi siku zote, Amen!
Alpha Igogo