alphaigogo.com
Family time-the Mashimis - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba mnisamehe leo nilikuwa nimebanwa hivyo sikuweza weka picha za family asubuhi kama ilivyo kawaida yetu. Si unajua kila JumaPili tunafurahia familia. Basi pichani ni familia ya Evans Mashimis toka ATL! Wamependeza sana. Sijui kama nilishawahi kutowa utambulisho humu ndani. Mke wa Evans a.k.a Teddy Sakaya ni shangazi yake mwanangu Mercy. Yeye ni last born kwa familia
Alpha Igogo