alphaigogo.com
Family time-the Rhoda-Nyolwengos - alphaigogo.com
Sisters sisters! Hapa ni binamuz, ni wadogo zangu Janeth (kushoto) na Magreth (kulia) na binamu yetu mkubwa , mjukuu wa kwanza kwa bibi yetu mzaa baba. Yeye anaitwa Maria Patrick anaishi huko Mbagala, hapa ni jana wakienda mtembelea na kufundisha jinsi ya kutumia mtandao wa Wats app na jinsi ya kujipanga selfie ???? mazoezi ya kujipiga selfie ????? kazi ipo LOL!
Alpha Igogo