alphaigogo.com
Family time-the Olung’as - alphaigogo.com
Nimependa picha hii ya mama na wanawe. Mwenye nguo ya orange ni mama yangu mkubwa mke wa baba yangu mkubwa Samwel-Opodi Olung'a Igogo. Na huyo wa kwanza kushoto ni binti yake wakwanza anaitwa Anyango na kulia mwisho ni kijana wake anaitwa Saronge a.k.a Sarungi. Na huyo mwenye blue jeans mdogo wangu anaye nifuata yeye anaitwa Janeth. Naona alienda Tengeru, Arusha
Alpha Igogo