alphaigogo.com
Family time-the Tengas - alphaigogo.com
Jamani sister naona unajichana kwa raha zako ati! Safi sana. Mwili haujengwi kwa mawe ? Raha sana. Jamani wazazi mjitahidi ku-invest mida yenu kwa watoto zenu na familia zenu kadri muwezavyo haswa wanapokuwa under 18. Inasaidia sana katika ukuwaji wa mtoto pia kwako mwenye mzazi. Usingoje mpaka mtoto amekuwa sijui na miaka 10 ndo unaanza kumpenda NOPE! Anza tangu udogo wake
Alpha Igogo