alphaigogo.com
Father and daughter moment - alphaigogo.com
Baba na mwana, wamependeza sana. Huyu wa kushoto ni wifi yangu mkubwa. Ndiyo mke wa kaka yangu first born wetu. Hapa yupo na baba yake mzazi mzee Nyahoro. Mbarikiwe sana wapendwa.
Alpha Igogo