alphaigogo.com
Father and daughters moment - alphaigogo.com
Baba na mabinti zake wamependeza sana. Hakuna kitu watoto wakike wanahitaji sana katika kukuwa kwao zaidi ya uwepo wa baba yao / zao katika maisha yao. Upendo ambao mtoto haswa wa kike anao upata toka kwa baba yake unasaidia sana kumpa confidence na kuweza ku-accomplish kitu chochote kile. Kazi nzuri sana Vincent, umekuza haswa. Na hongera sana kwa kuwa baba mwema kwa
Alpha Igogo