alphaigogo.com
Father and son moment - alphaigogo.com
Hahahahaha! nacheka kwasababu akiona hii picha huku atashangaa sana. Huyu ni moja ya ndugu zangu waishio huko Arusha, Tanzania. Huyu ni mwana UKAWA. Ni mmoja ya watu nilikuwa tukipingana sana wakati wa kampeni ??? Hivi mnajua zile kampeni kuna baadhi ya ndugu zangu wameninunia mpaka leo?! ??? Lakini huyu alelewe zile zilikuwa kampeni hivyo tukose powa kabisa......haya muwe na siku kuu njema.
Alpha Igogo