alphaigogo.com
Father and son moment - alphaigogo.com
Mtu na daddy yake. Huyu ni mdogo wangu anaitwa Isaka. Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa lakini amelelewa na kukulia kwetu toka akiwa na umri wa miaka mitano (5 yrs) mpaka sasa anakwenda 27. Kwahiyo hapa yupo na baba yake mlezi ambaye ni baba yangu mzazi. Huyu mdogo wangu ni mtaalam wa IT. Amesomea Nairobi, Kenya hivyo anafanya kazi Utegi
Alpha Igogo