alphaigogo.com
Father and son moment - alphaigogo.com
Baba na kijana wake. Nawapenda sana tena sana waha watu kwenye picha. Kwamsio mjua huyu ni kaka yangu mkubwa ndo first born wetu. Hapo yupo na kijana wake anaitwa Gabriel a.k.a Gabby. Ngoja niwaambie hakuna kitu kigumu kama kupata picha ya huyu kaka yangu ?? yani picha zake ni za kumvizia vizia tuu hapa naona alikuwa ofisini kwa mzee Igogo akawaphotowa
Alpha Igogo