alphaigogo.com
Father and twins moment - alphaigogo.com
Awii! Aren't they cute! Dr. Mengi na vijana wake. Wapendezaje sasa, usinicheke hata majina yao siyajui ?? lakini hiyo haitoi ukweli kwamba ni ma-handsome wa nguvu! Mungu awabariki. Ngoja nitumie nafasi hii kuongelea jambo fulani ambalo nililiandika humu wakati fulani mwaka jana. Niswala ambalo lilikuwa linahusu family ya Dr. Mengi haswa kuhusu ndoa yake na K-Lynn These boys are adorable! Super cute!.... anyway
Alpha Igogo