alphaigogo.com
Father’s Day Message - alphaigogo.com
Muheshimiwa Vincent Nyerere anasema naye hakuwa nyuma siku ya Father's Day. Alikuwa beneti na binti yake mrembo Janet (Joha) ambaye ni last born wake. Kama mnavyo waona kwenye picha mtoto amelala kifuani kwa baba akiwa hana wasiwasi kwani anajua yupo salama. Inavutia na kutia faraja sana haswa kwa wanajamii ya Watanzania kuona viongozi wetu wanakua mfano wa malezi na tabia njema.
Alpha Igogo