alphaigogo.com
Father’s Day wishes - alphaigogo.com
Leo ni siku ya kinababa huko Australia. Hivyo napenda kuwatakia wale wote wanao ishi maeneo ya huko (wababa na wababa watarajiwa) kheri ya siku ya kina baba haswa kwa mume wa rafiki yangu Aidan Nyongo. Mungu awabariki sana.
Alpha Igogo