alphaigogo.com
Finally, Bill Cosby will stand for trial! Possibly 30 yrs in prison! - alphaigogo.com
https://youtu.be/jn_RUDm4hlo Hatimaye a long awaited moment for many of us has come! Kwakweli swala hili lilipoanza nilihuzunishwa sana lakini sikushangazwa nalo kama wengine kwani nimeshaona matukio mengi ya hawa wanaume wanaotafuta power ya kuaminika katika jamii au katika familia wanafanya mambo ya ajabu including mauwaji na kama watu sio makini they may get away with it!. Bill Cosby hivi karibuni mambo
Alpha Igogo