alphaigogo.com
First Lady by default! Sasa ni Mbunge wa kuteuliwa! - alphaigogo.com
Malkia wetu wa nguvu anarudi tena kwenye macho ya jamii! Mama Salma Kikwete anarudi tena baada ya kuteuliwa na Rais Dr. Magufuli kuwa Mbunge wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hapo jana! Wengi tulimzoea kumuona akitumikia jamii kama First Lady lakini sasa atatumikia jamii kama Mbunge. Ile nafasi ya kwanza ya kuwa First Lady ilitokea tu (by default) kwasababu
Alpha Igogo