alphaigogo.com
Furaha na amani ya siku ya Muungano! - alphaigogo.com
Nawatakieni furaha ma amani ya siku ya muungano kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu! Mungu azidi kitusaidia tudumishe amani na utulivu katika taifa. Najua nchi yetu inamatobo ambayo yanatakiwa kuwekewa viraka, lakini siamini kuwa nchi yetu imeharibika kiasi cha kutofaa tena! Nguzo yetu kuu ambayo tumejivunia siku zote hata katika magumu yote tuliyopotia ni kulinda amani na
Alpha Igogo