alphaigogo.com
Furaha ya dunia - alphaigogo.com
Jamani nawapendaje hawa watoto! Niwazurije jamani. Mungu awalinde sana na kuwahepusha na mashetani ya hii dunia. Wanaitwa Oumar na Rouguiatou. Sasa hayo majina tuu yalivyo matamu kutamka hadi raha ? wanaishi kwa Queen Elizabeth. Mbarikiwe sana.
Alpha Igogo