alphaigogo.com
Furaha ya Pasaka - alphaigogo.com
Hivi ndivyo baadhi ya wasomaji wetu walivyo shereke siku kuu ya kufufuka kwa Bwana Yesu (Pasaka). Mambo yalikuwa kama ifuatavyo pande za Atlanta, Georgia kwa designer maharufu Linda Bezuidenhout(owner of Lb apparel). Linda kama kawaida yake amevaa vazi la ubunifu wake yeye mwenyewe. Na hivi ndivyo ilivyokuwa pande za Mbagala, Dar es salaam.
Alpha Igogo