alphaigogo.com
GOLI LA MKONO LIPO HATA KWENYE SIASA-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Jana katika jiji la Dar kulikuwa na mpambano wa jadi kati ya Yanga na Simba. Mpambano ulikuwa na mbwembwe nyingi na mwisho wa siku ikawa 1-1. Kilichonifurahisha ni Goli linalioitwa la Mkono alilolipata Tambwe. Mimi ni yanga na kweli furaha yangu ni ushindi tu iwe ni kwa mafigisu ama kwa halali. Goli hili nalifananisha na Goli la Mkono katika siasa,
Alpha Igogo