alphaigogo.com
Gone but not forgotten! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwiye radhi kwa mara ya kwanza na ya mwisho nitaongelea kuhusu kumbukumbu ya ndugu zangu na marafiki zangu ambao wamelala kwa amani ya Bwana. Siku kama ya leo miaka 4 iliyopita nilifiwa na kaka yangu kipenzi aitwaye William Charles Igogo au kwa majina mengine ni Mzee William au Jeshi. Yeye alipewa jina la marehemu babu yetu
Alpha Igogo