alphaigogo.com
Hakikisha hili halikupiti- Miaka 15 ya Saida Karoli! - alphaigogo.com
#Miaka15yaSaidaKaroli: #PowerBreakfast kuanzia saa 1-4 asubuhi @barbarahassan1 @masoudkipanya @fredwaatz @pjpauljames @cza255 watakukutanisha na #MalkiaWaNguvu @saidakarolitz . Ambae alinyanyuka, Ulimwengu ukamtambua. Baadae alianguka, Ulimwengu ukabaki tungo zake wakati yeye akitaabika na maisha. SASA ANASIMAMA TENA. . Alhamisi hii, njoo #Escape1 Mikocheni Usimame na #SaidaKaroli15 | Kiingilio 20, 000 kawaida na VIP ni 50,000. #KunyanyukaKuangukaNaKusimamaTena : @saidakarolitz Kupata tiketi kwa ajili ya #SaidaKaroli15,
Alpha Igogo