alphaigogo.com
Hakikisha ujumbe huu umewafikia Wahaya wote! - alphaigogo.com
Mwanasheria msomi wa kimataifa mwenye asili ya Kiluo kutoka Utegi, Rorya, mkowa wa Mara, ajulikanae kama Janeth O. O Igogo. Leo hii asubuhi masaa ya Africa Mashariki akiwa ndani ya jiji la Bukoba mara tu baada ya kutua salama katika mji huo unaosifika kwa matetemeko ya ardhi kupitia Facebook page yake alituma salamu kwa Wahaya wote wanao ng'ang'ania mjini kurudi
Alpha Igogo