alphaigogo.com
Hapana chezea babu na mjukuu wake - alphaigogo.com
My niece Mary, look how cute you are! Natural beauty!..........wapendwa wasomaji wangu, huyo mtoto ni niece wangu mtoto wa kaka yangu mkubwa. Jana alizawadiwa zawadi ya Laptop na babu yake kama zawadi ya kumaliza darasa la saba na kujiandaa kwenda form One. Yani hapana chezea babu na wajukuze ati?? siyo kwa kupendwa huko ??.........Nafikiri Mary ataendelea na shule za private
Alpha Igogo