alphaigogo.com
Happy 12th Wedding Anniversary to Mr and Mrs Nyagaswa! - alphaigogo.com
Napenda kuwapongeza Mr and Mrs Nyagaswa kwa kutimiza miaka 12 katika ndoa yao. Mungu awalinde, awabariki sana, mapenzi yao yazidi kusonga mbele na wadumu pamoja mpaka kifo kitakapo watatenganisha. Hapa ilikuwa siku ile kuu, siku ya ndoa yao miaka 12 iliyopita.
Alpha Igogo