alphaigogo.com
Happy birthday Mama Ngonyani! - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako dada yangu mama Ngonyani. Mungu akulinde, akupe afya njema, upendo, amani, na furaha nyingi mno. Ukaishi maisha marefu, ufanikiwe kuwaona wajukuu na vitukuu vyako! Upendo na Amani vizidi kutawala katika ndoa yenu. Mimi nashukuru sana kwa Mungu kwa kuniwezesha kufahamiana na nyinyi. Upendo wenu kwangu mimi na mwanangu ni mkubwa sana. Na nasema asante kwa
Alpha Igogo