alphaigogo.com
Happy 4th birthday to my darling niece -Essy - alphaigogo.com
Napenda kumtakia mpwa wangu kipenzi cha roho yangu kheri ya siku ya kuzaliwa. Essy ametimiza miaka 4 siku ya leo. Naomba Mungu ajalie maisha marefu na mazuri, awe na afya njema, amlinde na maadui na mapepo yote ya dunia hii. Essy ni mtoto wa mdogo wangu anaye nifuata. Hapa nilikuwa nimekwenda kuwasalimia kwao mwaka 2013 akawa ameamka na kuni kiss kama
Alpha Igogo