alphaigogo.com
Happy 51st Wedding Anniversary to Mr and Mrs Musira - alphaigogo.com
Napenda kuwatakia mama yangu mkubwa pamoja na baba yangu kheri na furaha ya miaka 51 ya ndoa yao. Mungu azidi kuwalinda, kuwabariki sana, upendo, furaha na amani vizidi kutawala maisha yenu na nyumba yenu. Mmekuwa mfano nzuri si kwetu sisi watoto wenu hata kwa watu wengine. Mbarikiwe sana. Kwa faida ya wengi; mama Musira au Mrs Musira ni dada yake mkubwa
Alpha Igogo