alphaigogo.com
Happy 66th birthday Mama Kachare - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mama yetu kipenzi, wajina wa mama yangu. Hongera sana kwa kutimiza miaka 66 ya kuishi katika dunia hii. Unapongezwa sana na pia wanamshukuru Mungu sana kwa uwepo wako katika maisha yao kutoka kwa watoto na wajukuu zako wote. Sote tunakuombea maisha marefu zaidi, yalio jaa amani, furaha, na upendo. Ubarikiwa sana. Happy birthday mama!
Alpha Igogo