alphaigogo.com
Happy 70th birthday mzee Manongi - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wetu Stanley Manongi. Leo hii umetimiza miaka 70 ya kuishi katika sayari hii tulio pewa na Bwana. Umetimiza ahadi ya Mungu kuwa mwanadamu ataishi miaka 70, na zaidi ya hapo ni miaka ya upendeleo (grace period ) kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Pokea na furahia upendeleo huo, kwani unastahili mzee wetu. Tunakutaki na kukuombea maisha marefu
Alpha Igogo