alphaigogo.com
Happy 72nd birthday greetings to Mamkubwa! - alphaigogo.com
Napenda salamu hizi za kheri ya siku ya kuzaliwa zimfikie mama yangu mkubwa Mrs. Musira, aishie pale maadadui wa Kamnyonge, ndani ya jiji la Musoma. Miaka 72 katika duniani hii ya Musa si mchezo ati! Mungu aendelee kukulinda, akupe nguvu, afya tele, na furaha moyoni mwako. Happy 72nd birhday to you! Ubarikiwe sana mama!
Alpha Igogo