alphaigogo.com
Happy 8th Birthday Marion Mley - alphaigogo.com
Napenda kutaka mrembo wetu Marion Mley kheri ya siku ya kuzaliwa kwake. Marion ametimiza miaka 8 siku ya leo. Tunaomba Mungu aendelee kumlinda, ampe afya njema, upendo, amani, furaha, na hekima katika maisha yake. Marion yeye anaishi Dar es salaam, Tanzania pamoja na wazazi wake. Mbarikiwe sana wazazi, mlee mtoto wenu na muwe na maisha marefu kuona matunda ya uzazi wenu.
Alpha Igogo