alphaigogo.com
Happy 9th of Dec to you all! - alphaigogo.com
Japo najua ni kesho lakini naomba nichukuwe nafasi hii kuwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa Tanganyika! Muwe na siku nje, mkajitokeze kwa wingi na nguvu katika maeneo yenu husika mkalisafishe jiji / kijiji / katakana mnazo ishi. Kumbukeni kuliombea taifa letu, Rais, na viongozi wetu wote. Happy Independence Day to you all the sons and daughters of Nyerere! Mbarikiwe sana
Alpha Igogo