alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee - alphaigogo.com
Napenda kuchukua fursa hii kumtakia ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la Kawe (Chadema). Yeye alizaliwa siku ya 03 / 18 / hivyo nimechelewa kidogo lakini si mbaya kwani birthday inasherekewa kwa mwezi mzima ulio zaliwa ? Namuombea maisha marefu yaliyo jaa upendo, furaha, na afya njema. Akapate kulitumikia vyema taifa letu la Tanzania.Jamani, hivi mnajua
Alpha Igogo