alphaigogo.com
Happy belated birthday mtani - alphaigogo.com
Happy belated birthday mtani wangu. Natumaini ulikuwa na siku njema na uliuwanza mwaka vyema. Hahahahaha! halafu Wahaya mnavituko yani wewe picha zako zote umepiga ofisini?! Ndo tujuwe kuwa una ofisini au uneajiriwa ??? Nitakomaje sasa kwenye Facebook ??? ole wako unichambe
Alpha Igogo