alphaigogo.com
Happy belated birthday muke ya Michuzi - alphaigogo.com
Happy belated birthday muke ya uncle Michuzi! Asante sana kwa kumtunza uncle wetu anatupatia habari za huwakika. Mungu akuzidishie uhai ukaishi maisha marefu yenye afya njema. Happy birthday auntie ake! Btw, uncle Michuzi hivi unajua mkeo ni aunt yake mwanangu? ??? mtaalamu wa kujikomba nimeanza ?? Honestly, Ainde ni shangazi kabisa wa mtoto wangu, mama Ainde a.k a mama Ai
Alpha Igogo