alphaigogo.com
Happy birthday my brother Peter Sarungi! - alphaigogo.com
Happy birthday my brother Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato ! Nakuombea kheri na baraka nyingi sana katika maisha yako na familia yako. Mungu azidi kukuongoza uendelee kuwa baba, mme, na kaka mwema katika jamii inayo kuzunguka.. Zaidi ya hapo ukapate mtumikia yeye! .....Happy birthday kaka!
Alpha Igogo